Klopp amechambua mbio za ubingwa EPL
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema ni lazima washinde michezo yao yote iliyosalia kama wanataka kuwa mabingwa wa Ligi Kuu England. Kocha huyo mjerumani amesema hayo baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Leeds United na sasa wanazidiwa alama 3 na Mancheste City.

