Nilipigwa shoti ya umeme- Daniel
Kijana Daniel Joseph, ameeleza namna mwaka 2014, ulivyobadilisha maisha yake baada ya kupigwa na waya wa umeme wakati akitokea shambani kumsaidia rafiki yake kubeba mahindi, hali ambayo imempelekea sura yake isiwe ya kawaida.