Waziri aagiza makampuni ya simu kuchukuliwa hatua

Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene

Waziri wa Katiba na Sheria George Simbachawene, ametaka watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuanza kuchunguza na kuyachukulia hatua baadhi ya makampuni ya simu za mkononi na watumishi wake ambao wanatoa taarifa za miamala ya wateja wao kwa wahalifu wa mitandaoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS