Ni muhimu sana kwetu sisi Simba SC (Kocha wa Simba SC, Pablo Franco Martin) Kocha wa Simba SC, Mhispaniola Pablo Franco Martin amesema sare yaliyoipata ugenini dhidi ya timu ya US Gandermarie ya Niger ni matokeo muhimu sana kwa upande wao kwenye michuano hiyo ya Shirikisho Barani Afrika. Read more about Ni muhimu sana kwetu sisi Simba SC