Klopp ammwagia sifa Kelleher, kwa kutwaa Carabao
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amemmwagia sifa goli kipa Caoimhin Caoimhin Kelleher kwa kucheza dakika 120 bila kuruhusu bao lakini pia kufunga penati iliyoipa ushindi Liverpool wa penati 11 kwa 10 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa fainali ya Carabao CUP.

