Dullah Makabila anunuliwa gari na mkewe

Msanii Dullah Makabila akiingia kwenye gari hiyo mpya

Mkali wa muziki wa singeli Dullah Makabila ameshea video kwenye page yake ya Instagram akikabidhiwa gari mpya aina ya Subaru Forester aliyonunuliwa na mke wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS