Chanjo ya UVIKO-19 mtaa kwa mtaa Katibu Mkuu Wizara wa Afya Prof. Abeli Makubi Wizara ya afya imesema wanatarajia kuzindua kampeni nyingine ya Kinga ya UVIKO-19 Uzinduzi utakaofanyika Jijini Arusha Desemba 22 mwaka huu. Read more about Chanjo ya UVIKO-19 mtaa kwa mtaa