Harmonize na Alikiba mwendo mdundo

Picha ya pamoja Harmonize kushoto na Alikiba kulia

Kwa mara ya kwanza CEO wa Kings Music Records Alikiba na CEO wa Konde Gang Music Worldwide Harmonize wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye ndege kuelekea Mwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS