Ijumaa , 17th Dec , 2021

Kwa mara ya kwanza CEO wa Kings Music Records Alikiba na CEO wa Konde Gang Music Worldwide Harmonize wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye ndege kuelekea Mwanza.

Picha ya pamoja Harmonize kushoto na Alikiba kulia

Picha hiyo ameshea Harmonize kwenye page yake ya Instagram, imekuwa na likes na comments nyingi kwa muda mfupi na ku-trend mitandaoni.

Mashabiki wengi wametamani kuona collabo yao huku wengine wakidai picha hiyo imeeditiwa.