Waziri atangaza faini mpya kila kichwa cha ng'ombe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ametangaza rasmi kuwa wafugaji watakaothubutu kuingiza mifugo katika Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori ya ILUMA watatozwa faini ya Sh. 100,000 kwa kila kichwa cha ng'ombe baadala ya Sh. 50,000 iliyokuwa ikitozwa mwanzo.