Rais Samia na Kenyatta kukata keki, Faru wakioana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekubaliana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, kumpatia majike ya Faru, na kusema kwamba Tanzania iko tayari kutoa mahari ili Faru hao waolewe na madume ya Tanzania na hiyo siku watakata keki.