Sababu za Kurasini Heat kujitoa BAL 2021
Shirikisho la mchezo wa mpira wa kikapu nchini TBF limetoa taarifa kwa umma kuelezea sababu za timu ya Kurasini Heat kujitoa kwenye hatua ya awali ya mzunguko wapili kuwania kufuzu michuano ya klabu bingwa Afrika.