Polisi TZ kuifuata TZ Prisons leo

(Kikosi cha Polisi Tanzania msimu wa mwaka 2021-2022)

Timu ya Polisi Tanzania imeondoka leo Jumatano ya Februari 9, 2022 kutoka Jijini Dodoma kwenda kuweka kambi ya siku 5 katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujiandaa na mchezo wa FA dhidi ya Tanzania Prison mchezo utakaochezwa kwenye dimba la Sokoine Jijini Mbeya Februari 15, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS