Soko la Karume Dar es Salaam lateketea kwa moto

Moto ukiwaka ndani ya Soko la Karume

Soko la Karume lililopo Ilala jijini Dar es salaam, limeteketea kwa moto asubuhi ya leo Januari 16, 2022. Chanzo cha moto bado hakijajulikana. Tutaendelea kukuletea taarifa zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS