Nassari alituchachafya bungeni - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba wakati anamteua Joshua Nassari, kuwa mkuu wa wilaya alimtaka aende akayatekeleze yale yote aliyokuwa akiyafanya bungeni na kwamba amekuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya waliosifia kwa kufanya vizuri.

