Senegal wavunja mwiko waifunga Misri fainali AFCON

Senegal wakishangilia ubingwa wa AFCON

Timu ya taifa ya Senegal imeshinda ubingwa wa michuano ya AFCON kwa mara ya kwanza kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya mabingwa mara 7 na wakihistoria timu ya taifa ya Misri kwenye mchezo wa fainali uliochezwa katika uwanja wa Olembe Yaoundé Cameroon.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS