Kiti kilichoachwa wazi na Dkt. Tulia kujazwa

Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi

Katibu wa Bunge Nenelwa Mwihambi, amesema kwamba uchaguzi wa kumpata Naibu Spika wa Bunge hilo utafanyika Februari 11, 2022, na kuvitaka vyama vyenye wawakilishi Bungeni kushiriki na kianze mchakato wa kumpata mgombea kutoka miongoni mwa wabunge wa chama hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS