TID awachana ukweli wasanii wa sasa Picha ya msanii TID Msanii TID 'Top in Dar Mnyama' ameshea maoni yake kuhusu muziki kwa kusema waimbaji wengi wa sasa wanagezana jinsi ya kuandika mashairi kitu ambacho ni kibaya sana. Read more about TID awachana ukweli wasanii wa sasa