Acheni kumchafua Lukuvi - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba hakuwarudisha tena kwenye Baraza la Mawaziri aliloliteua juzi, wabunge William Lukuvi na Profesa Palamagamba Kabudi, kwa sababu kawapa kazi maalum Ikulu hivyo atakuwa nao.

