Thompson arejea kwa kishindo baada ya siku 941 Nyota wa Golden State Warriors amerejea Uwanjani baada ya miezi 31 aliyokuwa nje akiuugza majeruhi na aliisaidia timu yake kushinda kwa alama 92-82 dhidi ya Cleveland Cavaliers. Read more about Thompson arejea kwa kishindo baada ya siku 941