Hizi hapa timu 8 zilizofuzu robo fainali ASFC
Hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup imekamilika jana kwa michezo miwili ambapo klabu za Simba SC na Pamba FC zimeungana na timu nyingine 6 ambazo zilishafuzu hatua inayofata ya robo fainali.

