Alichokisema Lema baada ya Rais kukutana na Lissu

Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

Aliyewahi kuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema kwamba amefurahishwa na kitendo cha Rais Samia kukutana na Tundu Lissu nchini Ubelgiji na kuamini kwamba wamejadili kwa kina hali ya nchi ya Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS