Sababu za Mwakinyo kuvuliwa Mkanda WBF
Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Duniani 'WBF' leo Jumatatu Januari 24, 2022 limeweka wazi suala la bondia Hassan Mwakinyo kuvuliwa mkanda wa ubingwa wa WBF Intercontinental na kupelekea kupoteza pambano lenye malipo ya zaidi Euro 30,000 sawa na Sh milioni 78 za Kitanzania.

