Aliyefanya mauaji eneo la Kanisani Njombe akamatwa
Polisi mkoani Njombe wamemkamata Ndugu Daniel Mwilango ambaye ni mtuhumiwa wa mauaji ya Nickson Myamba (48) aliyekuwa katibu wa baraza la walei kanisa la Roman Katoliki kigango cha Parokia ya Makambako.

