Djokovic kurejea Australia mwakani?
Nyota wa tenisi Novak Djokovic anaweza kurejea Australia mapema kuliko ilivyotarajiwa kufuatia kuondoshwa kwake nchini humo kutokana na kukosa vigezo kwenye hati yake ya kusafiria, waziri mkuu wa nchi hiyo anasema.

