Upatikanaji wa maji mjini sasa ni 86%- Chongolo Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema kwamba baada ya miaka 60 ya Uhuru, upatikanaji wa maji katika miji umeongezeka hadi kufikia asilimia 86. Read more about Upatikanaji wa maji mjini sasa ni 86%- Chongolo