Miaka 45 ya CCM yaadhimishwa Mara

Sehemu ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi haikuwa rahisi, na kuwataka Watanzania kuendelea kuilinda amani na utulivu uliopo nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS