Ndugai kujiuzulu kwatibua ratiba za Bunge 

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Katibu wa Bunge amesema baada ya Job Ndugai kujiuzulu, kwa sasa taratibu za uchaguzi kwa ajili ya kujaza nafasi hiyo zinaendelea ambapo kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 na Januari 17 sasa zitakutana Februari Mosi hadi 11 wakati wa mkutano wa sita wa Bunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS