Ndugai anaweza kuachia ngazi - Ng'ingo
Mchambuzi wa siasa nchini Goodluck Ng'ingo, amesema iwapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, hatobadilika na kuendelea na utaratibu wake wa kukosoa hadharani nje ya kufuata utaratibu jambo ambalo litakuwa na manufaa kwa pande zote mbili ni yeye kuachia ngazi.

