Djokovic kutetea kombe la Australian Open

Novak Djokovic akionyesha makeke yake

Mchezaji nambari moja duniani kwenye mchezo wa Tenesi, Novak Djokovic atatetea taji lake la Australian Open Janauri 17 mwezi huu baada ya kupata msamaha wa kimatibabu kutokana na kutoweka wazi kama amepata chanjo ya UVIKO-19 au Lah!.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS