Shaiboub aanza kukiwasha Simba SC

Shaiboub Sharaf akiwa mazoezini

Kiungo kutoka nchini Sudan Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman ameanza mazoezi rasmi baada ya kutambulishwa na Mabingwa wa Soka Tanzania bara Simba SC jana Jumatatu (Januari 03) mchana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS