KR Mulla TMK afiwa na baba yake mzazi Picha ya KR Mulla Kupitia instagram ya msanii Mhe Temba ameshea taarifa za msanii mwenziye KR Mulla Jibaba kwa kuondokewa na baba yake mzazi Mzee Ziada huko mkoani Lindi. Read more about KR Mulla TMK afiwa na baba yake mzazi