Howard aweka rekodi ya kibabe NBA
Dwight Howard wa Los Angeles Lakers amefikisha rebound 14,465 na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kumi kwenye Historia ya Ligi ya kikapu Nchini Marekani NBA kwa kuwa na rebound nyingi huku kinara akiwa ni Wilt Chamberlain (amestaafu) mwenye rebound 23,924.
