Droo ya Afcon 2023 kupangwa Ijumaa
Droo ya makundi ya michuano ya mataifa Africa (Afcon) kwa mwaka 2023 nchini Cote d’Ivoire inatarajiwa kufanyika mjini Douala nchini Cameroon siku ya Ijumaa January 21,2022 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirikisho la soka barani Africa (CAF).

