Chanzo kifo cha Babu wa Loliondo chatajwa Babu wa Loliondo Chanzo cha kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapile (86) maarufu kwa jina la Babu wa Loliondo, kimeelezwa kuwa aliugua nimonia kali ambayo ilimsababisha kupata tatizo la upumuaji na homa. Read more about Chanzo kifo cha Babu wa Loliondo chatajwa