"Muziki wetu umeshuka" - Linex Sunday Msanii Linex Msanii Linex Sunday Mjeda 'The VOA' amefunguka ukweli kuhusu muziki wa Tanzania kwa kusema umeshuka pia ameomba kwa Mungu awape uamsho wasanii wote wa muziki mzuri Bongo. Read more about "Muziki wetu umeshuka" - Linex Sunday