Petitman amsurprise mchumba wake leba 

Petitman Wakuache akimvalisha pete ya uchumba mpenzi wake

Meneja wa msanii Young Lunya Petitman Wakuache amem-surprise mama wa mtoto wake Official Dodo baada ya kumvalisha pete ya uchumba katika chumba cha kujifungulia wajawazito leba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS