Bucks yatwaa ubingwa wa NBA baada ya miaka 50
Baada ya miaka 50, hatimaye timu ya Milwaukee Bucks imeshinda ubingwa wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA baada ya kuibuka na ushindi wa alama 105 kwa 98 dhidi ya Phoenix Suns kwenye mchezo wa sita wa fainali uliochezwa alfajiri ya leo.