Rais asikia kilio cha tozo ya miamala ya simu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuhakikisha inayashughulia malalamiko yote yanayotolewa na Watanzania kuhusu tozo mpya za miamala ya simu zilizoanza kutumika Jula 15 mwaka huu.