"Ma-Slay Queen hawana akili" - Pili Kitimtim Picha ya Pili Kitimtim Mchekeshaji Pili Kitimtim amelikataa jina la 'Slay Queen' kwa sababu wadada wanaojiita jina hilo huwa hawana akili na maisha yao yanaenda kibahati nasibu. Read more about "Ma-Slay Queen hawana akili" - Pili Kitimtim