Ben Pol aeleza chungu, tamu za mapenzi Picha ya Msanii Ben Pol Hatimaye King wa RnB, Ben Pol amerejea na project yake ya nyimbo 4 ambayo ameiita ‘’B’’ inayoelezea mambo mbalimbali kuhusu mapenzi huku ikiwa amemshirikisha Rapper Billnass pekee kwenye "Kisebusebu". Read more about Ben Pol aeleza chungu, tamu za mapenzi