Ripoti ya Mahakama Kuu juu ya kesi ya Uchaguzi TFF Ally Salehe akitoka kwenye Makao Makuu ya TFF kuchukua fomu ya Ugombea Urais wa shirikisho hilo kabla ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro hiko. Mahakama kuu imetupilia mbali ombi la Ally Salehe la kuzuia mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Read more about Ripoti ya Mahakama Kuu juu ya kesi ya Uchaguzi TFF