Waziri apiga marufuku matumizi ya 'fedha mbichi'
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa matumizi ya fedha ambazo zimekusanywa na Halmashauri na hazijapelekwa benki kwa sababu yoyote huku akiwataka wakurugenzi wanahakikisha wanasimamia hilo.