Drake na Wizkid waweka rekodi hii Duniani

Pichani ni Drake na WizKid

Rapper maarufu kutoka Canada, Drake, ameendelea kuandika historia katika muziki wa HipHop baada ya kufanikisha rekodi kubwa ya kuwa msanii wa kwanza wa HipHop duniani kufikisha wasikilizaji bilioni 4 kwenye mtandao wa kusikilizia muziki Spotify.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS