Sergio Ramos akaribia kuinunua Sevilla FC Sergio Ramos Kwa mujibu wa ripoti ya Cadena SER, gwiji wa soka wa Hispania, Sergio Ramos, amefikia makubaliano ya kimsingi na wanahisa wa klabu ya Sevilla kuhusu ununuzi wa klabu hiyo. Read more about Sergio Ramos akaribia kuinunua Sevilla FC