Jose Chameleone kustaafu muziki Picha ya msanii Jose Chameleone Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Uganda aliyetamba na ngoma kama Katupakase na Jamila, Jose Chameleone (42) ameweka wazi kuwa atastaafu kufanya muziki pindi atakapofikisha umri wa miaka 50. Read more about Jose Chameleone kustaafu muziki