R. Kelly ahamishwa Gereza Picha ya msanii R. Kelly Mwimbaji wa muziki wa RnB, R. Kelly amehamishiwa Gereza lililopo mjini Brooklyn, New York ambapo atakuwa hapo kabla ya kesi kuanza kusikilizwa mwezi Agosti mwaka huu. Read more about R. Kelly ahamishwa Gereza