Amka na michapo hii ya michezo mbalimbali Duniani
Pitia taarifa za michezo mbalimbali zitokanazo na namba ambazo pia unaweza kuzisikiliza kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa moja na robo asubuhi kupitia kipindi cha Super Breakfast cha East Africa Radio.

