Simba ilitolewa CAF kwa kuwa hatukuwapa kipaumbele
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba amesema Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF halina mipangilio inayoeleweka kimichezo hali iliyopelekea kushindwa kwa vilabu vyetu kufanya vyema katika michuano ya kimataifa.

