Rais Samia na Xi Jinping wateta, China yatoa pole

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 21, 2021, leo amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa China Xi Jinping, ofisini kwake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, ambapo China imeahidi kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS